17:17 Maana Mungu ametia mioyoni mwao nia ya kutekeleza shabaha yake, yaani kwa kukubaliana wao kwa wao na kumpa huyo mnyama mamlaka yao ya kutawala, mpaka hapo neno la Mungu litakapotimia.
17:18 "Na yule mwanamke uliyemwona ndio ule mji mkuu unaowatawala wafalme wa dunia.